Dina Ekanga anatumia misumari kusimulia hadithi za kiafrika.
24.04.2024
Misumari na nyundo kwa Dina zimekuwa nyenzo muhimu katika kusimulia hadithi zilizojaa changamoto, uzuri na upekee wa bara la Afrika, hasa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambako anatokea. Sanaa ya kipekee inayosimulia hadithi kwa namna ya kipekee.